Intro: Aiyo Lizer Wasafi Records
Verse 1: Hai mwenzako i feel so good pindi nkikuona Au huo mwendo unafanya kusudi Na ulivyoshona ati unakwenda Au unarudi wakata kona Nyuma ka katuni za Masood ulivyonona Heh hivi unapenda wa vifua kama roboti Ama sanamu au wazee wa kununua Mwaga Noti akina Sallam
Bridge: Oooh Anita macho kama unanita aaah Saa sita shape Vera Sidika Aaaah Anita macho kama unanita aaah Saa sita shape Vera
Chorus: Ah Show me show me show me Unavyonesa Show me show me show me Waoneshe Unavyonesa Ah Show me eeh show me show me Unavyonesa Show me eeh show me show me Waoneshe Unavyonesa
Verse 2: Umenifinyanga kama dona Mmakonde nanonya Kama mpira maradona Kichuya kona Na wakisema na mawenge eeh Waambie Wellason Wakilingisha peremende Nitakugawia koni Chunga kipenzi majaribu mabaya saana ooh Na we ndo doctor wa kunitibu Niwe salamaa oooh Ooooh babe
Bridge: Anita macho kama unanita aaah Saa sita kiuno ka Yondo sister Aaaah Anita macho kama unanita aaah Saa sita kiuno ka Yondo Sister
Chorus: Ah Show me show me show me Unavyonesa Show me show me show me Waoneshe Unavyonesa Ah Show me eeh show me show me Unavyonesa Show me eeh show me show me Waoneshe Unavyonesa
Verse 3: Wasaafii Asa Mombasa nairobi sakata dance Kampala na kigali sakata dance Ati zimbabwe kwa Tobby sakata dance Naija Somali toto sakata dance Wanangu wa panya road sakata dance Kujao kucha kwa salali sakata dance Na unyamani BoB sakata dance Kizonga kwa natali toto sakata dance Aaah aaah aaah Unavyonesa Aaaaah aaah aaah Waoneshe unavyonesa
The post Show Me – Harmonize Ft Rich Mavoko (Lyrics) appeared first on Dj Kanji.